Kuhusu SISI
SISI NDIO Waswahili wa SWAHILI SOFTWARE
Our Vision.
Kuwa wezesha Waswahili wenzetu wa Afrika Mashariki kuwa na Uelewa mpana wa maswala ya Software
Our Mission.
Kuwarahisishia utendaji kazi waswahili wenzetu wote waishia Afrika Mashariki

Madam Miriam
Mkurugenzi Mkuu

Mr Mushi
Mobile App Developer

Mr Underson
Software Engineer

Mr Ombeni
Software Engineer
TESTIMONIALS
Shuhuda ya watu Kuhusu Sisi
“Mmenifungua sana akili juu ya maswala ya software,Siku si nyingi nitakuja tena kwenu mnitengenezee App”

Mr Ombeni
Software Engineer
-NodeJs
-Php &Laravel

Mr Underson
Software Engineer
Laravel & PhP & NodeJs

Madam Miriam
Mkurugenzi Mkuu wa Swahili Software Development Company
GET CONNECTED
Tutakuhudumia Chap kwa Haraka.
Karibu utupe Kazi leo nasi tutaifanya chap kwa haraka kwa viwango vya kimataifa.
Utaifurahia kazi yetu,Hautajuta.