Ungependa tukupatie Website/Tovuti au Mobile Application?
Tupo na wabobevu wenye uzoefu mkubwa katika eneo hili la kutengeneza Website (Tovuti) pamoja na Program tumishi za simu – Android & iOS (Mobile Application).
Karibu leo tukupatie Lililohitaji lako,tupo tayari kukuhudumia.

Shughuli zetu Kuu

Software Development
Tunajihusisha zaidi na utengenezaji wa Program tumishi za simu,Iwe Android App au iOS Application.

Website Development
Tunatengeneza Website kwa maana ya Tovuti pamoja na Web Application kwa maana ya Mifumo mbalimbali ya Kompyuter

Softwares Dev Classes
Tunaendesha mafunzo mbali mbali ya kutengeneza website pamoja na Android & iOS Apps kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu.

Mifumo ya Kompyuta
Tunatengeneza mifumo mbali mbali ya kompyta yenye kurahisisha utendaji kazi wa taasisi,shule nk. Mfumo tulionao kwa sasa ni wa usimamizi na uendeshaji wa shule.Unapatikana kwa Shule Tech .
Tupatie wazo leo nasi ,tutalibadilisha kuwa Software Kamili.
Ikiwa una wazo lolote la kutatua changamoto kwa jamii,usisite kutushirikisha wazo lako nasi tutalibadili na kulifanya kuwa utatuzi kwa njia ya program tumishi za simu (Mobile APP) Au Web Application.
- Eneo la Afya
- Eneo la Usafirishaji
- Eneo la Elimu
- Eneo la Kilimo


Madarasa ya Online
Kampuni inaendesha mafunzo ya Programming kwa lugha ya kiswahili kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu kwa njia ya mtandao kwa waliopo nje ya Dodoma au Dar es Salaam.
Pia hutoa mafunzo wa vijana waliopo vyuoni au mashuleni bure kwa makubaliano maalum ya shule au chuo husika.
- Web Development
- Mobile App

Get started with Swahili Software Development today
